| WELCOME TO | ||
| MADRASA AL-HIDAYA | ||
| MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE | 
HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)  
TABIA NZURI 
1. Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayrah (ر) kuwa alisema, “Mtume (ص ) alikuwa anapopiga chafya huweka mkono au kitambaa kwenye kinywa chake ili kuipunguza sauti ya chafya”. (Abu Dawud na Tirmidhi)
2. Imepokewa kutoka kwa Abu Said Al-Khudri (ر ) kuwa alisema, Mtume (ص ) amesema, “Anapopiga miayo mmoja wenu basi afunike kinywa chake kwa mkono, la sivyo shetani ataingia kinywani”. (kitu chochote kibaya). (Muslim)