Bismillah
 

WELCOME TO

 
Muhammad

MADRASA AL-HIDAYA

Allah
 

MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE

 

Al-Fatiha

Allah

Prophet Muhammad

Qur'an

Hadith

Home

What's New

Total Site Contents

Al-Fatiha

 

HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD
(Amani iwe juu yake)

SAUMU

1.   Imepokewa kutoka kwa Abu Hurairah (R.A.A) kuwa alisema, Mtume (S.A.W) amesema, “Mtu ambaye hakuwacha kusema neno baya na kutenda jambo baya basi Mwenyezi Mungu hana haja kwa mtu huyo kuwacha chakula chake na kinywayi chake” (saum ina maana yakumtengeneza mtu wala si lengo kuwa kukaa na njaa na kiu tu). (Bukhari)

2.   Imepokewa kutoka kwa Abu Ayub (R.A.A) kuwa alisema, Mtume (S.A.W) amesema, “Mtu aliyefunga mwezi wa Ramadhani na baada yake akafuatisha siku sita (6) za mwezi wa mfugo kwanza (Shawwal), basi mtu huyo ni kama aliyefunga mwaka mzima”. (Muslim)

 


 

 

 

 


HOME

DOOR 

WINDOWS