| WELCOME TO | ||
| MADRASA AL-HIDAYA | ||
| MUSLIM SCHOOL OF RIGHT GUIDANCE | 
HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD 
(Amani iwe juu yake)  
IBADAH 
Imepokewa kutoka kwa Bibi Aisha (ر ) kuwa alisema, “Alikuwa Mtume (ص ) zinapoingia siku kumi (za mwisho wa mwezi wa Ramadhani), Mtume (ص ) akikesha usiku kucha, na pia kuwaamsha watu wake wa nyumbani akifanya bidii pamoja na kuzidisha ibada”. (Bukhari na Muslim)
- Imepokewa kutoka kwa Abu Musa Ash‘ari (ر ) kuwa alisema, Mtume (ص ) amesema, “Mmoja wa waja wa Mungu anapokuwa mgonjwa au anapo safiri huandikiwa kadiri ya yale aliyo kuwa akitenda alipokuwa mzima nyumbani”.(Bukhari)